Kwanza napenda kutambua ushirikiano na wazazi. Pili, baada ya kushika nafasi ya kwanza kitaifa mara mbili mfurulizo 2013/2014,ninaahidi kuendelea kuiboresha shule kuanzia chekechea, primary, sekondari hadi kidato cha tano na cha sita.
Anashauri wazazi kumuunga mkono na kutambua juhudi anazozifanya kutoa elimu bora.
MD. YUSTO KAIZIREGE (Mkurugenzi Mtendaji)